Mwenge wa uhuru 2023, katika mkoa wa Ruvuma tunaupokea katika wilaya ya Tunduru tarehe 16.04.2023 , ambapo utakagua miradi ya maendeleo, na mwenge wa uhuru utalala katika wilaya ya Tunduru tarafa ya matemanga kijiji cha milonde siku hiyo ya tarehe 16.04.2023
Wananchi wote wa wilaya ya Tunduru mnakaribishwaa kuhudhuria siku hiyoo ya mapokezi na mkesha wa mwenge..
"Tutunze mazingira
Tuokoe vyanzo vya maji kwa usalama wa viumbe hai na uchumi wa Taifa"
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.