Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mhe. Linda Selekwa atembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru leo tarehe 06.08.2024 na kukutana na wataalamu mbalimbali wa Kilimo, , Mifugo na uvuvi pamoja na kujionea bidhaa kutoka kwa wajasiriamali wetu.
Sikukuu za wakulima (nanenane) mwaka 2024, zinaongozwa na kauli mbiu isemayo “Chagua viongozi Bora wa Serikali za mitaa kwa maendeleo endelevu ya kilimo Mifugo na Uvuvi”
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.