Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mh .adv. Julius s.Mtatiro akikabidhi mwenge wa uhuru kwa Mkuu wa wilaya ya Namtumbo Bi. Ngolo Malenya kwa muendelezo wa kuukimbiza mwenge huo katika Mkoa wa Ruvuma.
Mwenge umekabidhiwa leo tarehe 18.04.2023 kukimbizwa katika wilaya ya Namtumbo.
Ambapo mwenge huo wa uhuru ulipitia miradi nane ambapo katika hiyo
Mwenge wa uhuru umeweka jiwe la msingi katika miradi miwili (02) ,pia imefungua miradi (03) na miradi ya kugawa mitatu (03)
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.