• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

MAFUNZO ya Usimamizi endelevu wa Maliasili ya Jamii.

Imewekwa : September 22nd, 2023

Muungano wa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori  Tanzania (CWMAC) ikishirikiana na shirika la Honeyguide wameeendesha mafunzo ya usimamizi endelevu  wa Maliasili ya jamii kwa viongozi wa Jumuiya za Hifadhi kupitia mradi wa Kujenga Usimamizi  wa Asili (KUWA) katika Wilaya ya Tunduru.

Lengo la mafunzo haya ni kujenga uelewa wa viongozi wa jamii kuhusu masuala yanayoweza kuathiri uendelevu wa jumuiya zao katika Uchumi, Jamii, na Mazingira, hayo yamesemwa na Afisa mjenga uwezo wa Muungano wa Jumuiya ya Hifadhi za Wanyamapori Tanzania Ndg. Prosper Munisi

Mafunzo hayo yameendeshwa kwa siku zisizopungua nne , kwa Jumuiya mbili za hifadhi ambazo ni Jumuiya ya Chingoli na Kisungule ,mafunzo haya yalihudhuriwa na makundi mbalimbali  Wanawake,Wanaume, Vijana na Wazee.

“Wananchi wamepewa dhamana kubwa sana na Mkurugenzi wa Wanyamapori Tanzania ,ili waweze kufanya uhifadhi wa Wanyamapori na kufadika na rasilimali walizonazo kwa kizazi cha sasa na baadae”.Alisema.

Aidha Afisa Wanyamapori (W) Tunduru Ndg. Dunia Almasi amesema mafunzo haya  ni muhimu sana kwani yanakwenda kuwaimariasha viongozi katika usimamizi wa rasilimali za jamii , pia mafunzo hayo wakayafikishe kwa jamii kwani ni jukumu lao la kwanza kama viongozi.

Wilaya ya Tunduru ina jumla ya jumuiya mbili za Hifadhi Wanyamapori ambazo zimekwishapata mafunzo hayo ambazo ni Jumuiya ya Narika na Chingoli pia kwa upande wa Mkoa wa Ruvuma jumla ya jumuiya tano zimekwishapata mafunzo hayo.

Imeandaliwa na Orpa Kijanda, Kaimu Mkuu Kitengo cha  Mawasiliano serikalini Wilaya ya Tunduru. 

Matangazo

  • MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA FUNGU 82N2 March 25, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA October 01, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA December 12, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAOTAKIWA KUSHIRIKI USAILI WA AJIRA YA MUDA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA WILAYA YA TUNDURU January 12, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA ROBO YA KWANZA CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE KATA NA WILAYA CHAFANYIKA TUNDURU.

    November 18, 2025
  • KAMATI YA LISHE Tunduru Yajadili Mikakati Ya Kuimarisha Afua Za Lishe Katika Jamii.

    November 13, 2025
  • DC MASANJA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA MRADI WA MAJI MSINJI, ATAKA UKAMILISHWE HARAKA

    October 24, 2025
  • DC MASANJA ATOA WITO WA AMANI KWENYE UCHAGUZI, AENDELEA KUPIGA VITA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI TUNDURU.

    October 23, 2025
  • Ona Zote

Video

RC RUVUMA AWAPA POLE WANANCHI AMBAO NI MAJERUHI WA MGOGORO BAINA YA WAFUGAJI NA WAKULIMA TUNDURU
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.