Wajumbe katika kikao maalumu cha baraza la madiwani katika wilaya ya tunduru kilichofanyika tarehe 24/09/2021, kujadili hoja za CAG na hesabu za mwisho wa mwaka 2020 /2021 .Pamoja na Kaimu mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya tunduru Ndg Molton msooya katika (kushoto) na makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru Mh Said Bwana ally katika kikao cha baraza la madiwani ,kilichokuwa kinajadili hesabu za mwisho wa mwaka 2020/2021 na hoja zilizotolewa na CAG.
Pia sambamba na kikao hicho madiwani walijadiliana kuhusianan na uharibufu wa korosho unaofanywa na mifugo katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Tunduru ,na makamu mwenyekiti wa wilaya kuitaka kamati ya ulinzi na usalama kuondoa mifugo yote ambayo inafungwa bila utaratibu katika wilaya ya tunduru.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.