Tunaishukuru Serikali ya awamu ya sita,ikiongozwa na Dr.Samia Suluhu Hassani Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia kwa waziri wake wa maliasili na utali Mohamed Mchengerwa kwa kutupatia nguvu ya kudhibiti wanyama hatarishi katika wilaya ya Tunduru , kutuletea magari 2 kati ya 4 na pikipiki 6 kati ya 15 katika wilaya ya Tunduru ili kuwezesha kudhibiti wanyama hatarishi na waharibifu hususani mnyama tembo.
@julius_mtatiro
"KAZI IENDELEE."
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.