Jengo la dharura (EMD) wilaya ya Tunduru limekamilika kwa asilimia 99% na kuwekwa jiwe la msingi na mkimbiza mwenge wa uhuru kitaifa ndug. ABDALLAH SHAIBU KAIMU
Uwekaji wa jiwe la msingi umethiibitisha kuwa viwango vya ubora wa jengo hilo ni vya kisasa na kuridhiwa na mwenge wa uhuru kutumika na wananchi wa wilaya ya Tunduru ifikapo mwanzoni mwa mwezi ujao.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.