Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe Selemani S. Jafo (Mb), amesema haita ruhusiwa kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka 2019 katika shule mbali mbali nchini kuhama hadi muhula wa kwanza wa masomo utakapo kamilika huku zoezi hilo likitegemea uwepo wa nafasi katika shule mwanafunzi anayotaka kuhamia.
Waziri Jafo ametoa kauli hiyo akiongea na waandishi wa habari mwishoni mwa juma jijini Dodoma, wakati akitoa taarifa kuhusu uchaguzi wa wanafunzi waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha Tano pamoja na Vyuo vya kati kwa mwaka wa 2019
kusoma taarifa kwa undani fungua link hapa chini
http://www.tamisemi.go.tz/new/kidato-cha-tano-wapya-hairuhusiwi-kuhama-serikali
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.