Mnada wa ufuta umefanyika leo Tarehe 31/05/2021 majira ya saa nane na nusu mchana katika Tarafa ya Lukumbule, Kata ya Lukumbule,kijiji cha Lukumbule uku makampuni 12 yaliyo tuma maombi ya kununua ufuta huo kama ifuatavyo:-
1-LENIKI TANZANIA LTD(TANI 190 KWA KILO 1 Tshs 2206).
2-MOHAMED ENTREPRISES TANZANIA LTD(TANI 200 KWA KILO 1 Tshs 2205).
3-IYAKELI LTD (KILO 244915 KWA KILO 1 Tshs 2204).
4-PARAMOUNT COMMODITIES LTD (TANI 190 KWA KILO 1 Tshs 2051).
5- PARAMOUNT COMMODITIES LTD (TANI 190 KWA KILO 1 Tshs 2100).
6.EXPORT TRADING LTD (TANI 300 KWA KILO 1 Tshs 1940).
7-SM HOLDINGS LTD (TANI 110 KWA KILO 1 Tshs 2125).
8-AFRISHIAN GEAN LTD (TANI 200 KWA KILO 1 Tshs 2137).
9- AFRISHIAN GEAN LTD (TANI 200 KWA KILO 1 Tshs 2167).
10-HS IMPEKEST LTD (TANI 90 KWA KILO 1 Tshs 2050).
11-.ARABIEST INTERNATIONAL LTD (KILO 634915 KWA KILO 1 Tshs 2000).
12- IYAKELI LTD (Tani 244915 KWA KILO 1 Tshs 2156).
KAMPUNI ZILIZO SHINDA MNADA WA KUNUNUA UFUTA MNADA WA KWANZA
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.