Baraza la madiwani la wilaya ya Tunduru limepitia rasimu ya mpango na bajeti ambapo waheshimu madiwa kwa pamoja wamepitisha bilion 5.4 kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ,ambapo 80% ya bajeti hiyo imejikita katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ili kuongeza huduma za kijamii katika wilaya ya Tunduru na kuwa na maendeleo bora kwa wananchi wa wilaya ya Tunduru.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.