Watendaji ngazi ya Kata (ARO-Kata) katika Jimbo la Tunduru wakila Kiapo cha Tamko la kujitoa uanachama na kutokuwa mwanachama wa chama cha siasa na kiapo cha kutunza siri.
.
Watendaji ngazi ya kata, Jimbo la Tunduru Kusini na Kaskazini wakiendelea na mafunzo kuhusu uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, mafunzo hayo yataendelea kwa siku mbili kuanzia tarehe 21-22/01/2025
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.