• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Departiment
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maliasili na Utalii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utumishi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Information, Technology, Communication and Public Relation
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Kilimo
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
      • Kata ya Mbati
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Mifugo na Uvuvi

IDARA YA MIFUGO NA UVUVI


Mkuu wa Idara Dk Eric Kahise

simu +255 765 293 627

UTANGULIZI

Idara ya Mifugo na Uvuvi ina jumla ya watumishi 24 na mkuu wa idara 1(mmoja), idara ya mifugo imegawanyika katika sekta mbili za Ufugaji na Uvuvi.

DIRA

Kuwe na sekta Mifugo ambapo ifikapo mwaka 2025 ambayo kwa sehemu kubwa itakuwa na ufugaji wa kisasa na endelevu,yenye mifugo bora ,yenye uzalishaji mzuri, inayoendeshwa kibiashara na yenye kuboresha lishe ya mtanzania, kuinua kipato cha mfugaji na Taifa na kuhifadhi mazingira

DHAMIRA

Kuhakikisha kuwa Rasilimali inaendelezwa na kutunzwa katika mazingira endelevu kwa ajili ya ukuaji wa uchumi  na kuboresha maisha ya wananchi

MADHUMUNI

Kujenga sekta yenye ufanisi na ushindani ambayo itachangia kuboresha maisha  ya wananchi ambao shughuli zao kubwa ni ufugaji  na  maisha yao hutegemea mifugo.

 Sekta ya Mifugo inafanya  Majukumu yafuatayo:

  • Kuzuia magonjwa ya mifugo kwa  Tiba na kampeni za kinga kwa njia ya chanjo
  • Kusambaza Teknolojia mpya ya viwanda vya mifugo kwa kushirikisha vyuo vya utafiti wa mifugo kwa lengo la kuwapatia wafugaji mbinu za ufugaji bora
  • Kuongeza ustawi wa mifugo kwa njia ya kopa mifugo –lipa mifugo, ujenzi wa miundombinu ya mifugo- ambayo ni machinjio , majosho ,minada ,vituo vya ukaguzi, na uchunguzi wa magonjwa, pia kutoa huduma za Ugani na vibali vya kusafirishia Mifugo.

Sekta ya Mifugo ina sehemu tatu ambazo ni

  • 1 Tiba na Afya ya Mifugo
  • 2 Uzalishaji Mifugo
  • 3 Uendelezaji malisho ya mifugo

Kazi za sekta ya uvuvi.

1. Hifadhi ya samaki, wanyama wengine wa majini na mazalia ya asili na kuandaa mazingira bora  kwa  vizazi vya sasa na baadae

2 Kuboresha njia za utoaji leseni za Uvuvi na maelekezo ya shughuli za uvuvi ili kuongeza kipato cha Taifa

3. Kuwezesha na kutekeleza  Sheria na kanuni za Uvuvi kwa kufanya doria za mara kwa mara ili kuzuia Uvuvi Haramu kwenye mito na maziwa katika Wilaya ya Tunduru

4 Kutumia Rasilimali zilizopo ipasavyo ili kuongeza upatikanaji wa samaki na hatimaye kukuza Uchumi wa Taifa

5 Kuandaa na kufanya mafunzo kwa wavuvi

6 Kuwezesha na kusimamia hifadhi ya mazingira

7. Kuwezesha ukusanyaji takwimu za samaki na kipato

8.  Kushirikisha Jinsi katika kuendeleza sekta ya Uvuvi

Matangazo

  • MATOKEO YA FORM FOUR 2022 - 2023 February 01, 2023
  • Watumishi wa Umma walioma mwezi disemba February 01, 2023
  • Orodha ya majina ya wanafunzi waliopangiwa kidato cha tano mwaka 2019 June 02, 2019
  • Taarifa ya Ziara ya Waziri Mkuu November 22, 2017
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA TUNDURU

    February 04, 2023
  • UPANADAJI MITI

    February 04, 2023
  • Wafugaji wasiofuata Mwongozo wa Serikali Kuondolewa Tunduru

    February 01, 2023
  • Wafugaji wasiofuata Miongozi ya Serikali Kuondolewa Tunduru

    January 31, 2023
  • Ona Zote

Video

KILO 1,147,287 ZA KOROSHO ZIMEUZWA KWENYE MNADA WA SABA TUNDURU DC
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Taarifa ya Ukimwi kuishia decemba 2017
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.