Leseni ya vileo unaweza kufika katika ofisi ya afisa biashara wilaya ukiwa na nyaraka zifuatazo
hati ya mlipa kodi
Tax clearence certificate
kitambulisho utaifa, hati ya kusafiria, mpiga kura au leseni ya udereva
ukiwa na nyara hizo utapewa fomu kujaza au ukaipakua (download) katika tuvuti yetu alafu ukawasilisha nyaraka hizo ofisi ya biashara wilaya chumba 54 ghorofa ya kwanza.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.