Ukihitaji Msaada wa kisheria fika katika ofisi za mwanasheria wilaya iyopo katika jengo la utawala floor ya Chini,chumba namba 22.utakutana wanasheria kukusaidia katika shida yako aidha ni masuala ya mirathi,ardhi na kuendelea.......
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.