Ili kupata Leseni ya Biashara, Mwananchi anatakiwa awe amepata Kitambulisho cha Mlipakodi (Taxpayer Identifaction Number - TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato (TRA). Kisha, Mwananchi atatakiwa kujaza fomu ya maombi ya Leseni ya Biashara inayopatika kwenye tovuti hii (ama katika Ofisi ya Afisa Biashara Wilaya) ili kuweka taarifa zote muhimu kuhusu biashara yake. Baada ya kukamillisha taratibu hizi, atapatiwa hati ya malipo (Invoice) kutoka Ofisi ya Afisa Biashara ili kwenda kulipia Benki.
Ili kupata fomu ya maombi ya leseni tafadhali bonyeza kiunganishi kifuatacho http://www.tundurudc.go.tz/storage/app/uploads/public/58d/42e/881/58d42e881d0c4420999098.pdf.................................
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.