MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA CHINI YA IDARA YA MIFUGO NA UVUVI
Jumla ya TSH 3,397,000/- zimetumika kujengea mfumo wa maji taka,ikiwa ni kujenga shimo, mifereji na vifuniko vyake.
Kazi inayoendelea katika eneo la mradi
Halmasahuri ya Wilaya ya Tunduru Imetengwa jumla ya tsh. 10,603,000/ za kuboresha eneo la machinjio iliyopo Tunduru mjini
Miradi uko katika hatua ya umaliziaji
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.