• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Departiment
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maliasili na Utalii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utumishi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Information, Technology, Communication and Public Relation
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Kilimo
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
      • Kata ya Mbati
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Dkt.Mwakyembe awataka Wananchi wa Tunduru kutunza maeneo ya kihistoria yaliyopo kata ya Masonya

Imewekwa : August 14th, 2020

Dkt. Mwakyembe Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo amewataka Wananchi wa Wilaya ya Tunduru kata ya Masonya watunze mahandaki na majengo ya kihistoria yaliyopo katika kata hiyo ya masonya ambayo yalitumiwa na Wanachama wa FRELIMO katika kupigania Uhuru wa Nchi ya Msumbiji pia Mhe.Dkt. Mwakyembe alisema Serikali itakarabati maeneo hayo ya kihistoria kwajili ya vizazi vijavyo.

Katika kuboresha mazingira hayo na uhifadhi wa Malikale Dkt. Mwakyembe alisema kuwa serikali itashirikiana na serikali ya Jamhuri ya Msumbiji katika kuboresha maeneo hayo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa malikale zilizotumiwa na wanaharakati wa FRELIMO ili kutunza historia na kuwaenzi waasisi wa ukombozi wa Nchi hiyo na kutambua mchango wa Tanzania katika ukombozi wa nchi zilizo kusini mwa jangwa la sahara.

aidha alipata fursa ya kutembelea na kukagua majengo mbalimbali yalitumiwa na wanaharakati wa Msumbiji, maeneo ya mahandaki na uwanja uliotumika na umoja wa wanawake wa Msumbiji katika harakati za ukombozi mwaka 1973 kufanya mkutano wa kwanza baada ya umoja huo kuanzishwa.


Katika picha kulia ni waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Harson Mwakyembe akitoa maelekezo ya namna ya uboreshaji wa eneo la masonya wakati alipofika kwenye mnara wa uwanja wa umoja wa wanawake wa Msumbiji katika eneo la makumbusho ya Masonya.

 

Matangazo

  • Matokeo ya kidato cha Nne, QT, Kidato cha Pili, na Darasa la Nne January 17, 2021
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU December 19, 2020
  • FORM ZA KUJIUNGA NA SHULE MWAKA 2021/ SCHOOL JOINING INSTRUCTIONS December 16, 2020
  • Tangazo la Mnada wa Ng'ombe May 23, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MH. WAZIRI MKUU AKIWA ZIARA WILAYANI TUNDURU

    January 05, 2021
  • DC MTATIRO AZIJIA JUU TAASISI ZA MIKOPO

    December 07, 2020
  • DC MTATIRO AKIWA ZIARA YA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KATA YA CHIWANA NA MBESA

    September 27, 2020
  • KAIMU MKURUGENZI TUNDURU DC MWL ANDERSON MWALONGO AMEWAPONGEZA TAMCUTUNDURU

    September 17, 2020
  • Ona Zote

Video

Makumbusho ya wapigania Uhuru Masonya kufanyiwa maboresho
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Taarifa ya Ukimwi kuishia decemba 2017
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.