Monday 8th, March 2021
@Tunduru
zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga Kura litafanyika ndani ya wilaya ya Tunduru kuanzia tarehe 01/01/2020 hadi tarehe 07/01/2020, muda wa kwenda katika vituo vitafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni kila siku.
Ni jukumu la kila mwananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru kujitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura ili kupata haki ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu 2020.
Na kwa wale ambao hawakuwa na kadi za mpaiga kura ni wakati sasa wa kuweza kupata kadi hizo,
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.