Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mh.Juma Zuberi Homera anawatangazia wananchi wa Tunduru kujitokeza kwa wingi katika ziara ya Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli itakayofanyika kuanzia tarehe 04-05/04/2019, aidha akiwa wilayani Tunduru atakagua na kuzindua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Lami ya Kutoka Namtumbo -Kilimasera, Matemanga -Tunduru, pia atafanya Mkutano wa hadhara katika Soko la mchele Eneo la Nakayaya Tunduru Mjini.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.