VIWANJA VIPO VINAUZWA KATIKA KIJIJI CHA TULEANE NA UMOJA, VIWANJA HIVYO NI KWA AJILI YA MAKAZI, BIASHARA NA MAKAZI PAMOJA NA TAASISI.
Jumla ya viwanja 79 vipo katika Eneo la Tuleane na Viwanja 4 eneo la Umoja, kwa huduma ya fomu za malipo pamoja na kulipia viwanja fika katika ofisi za Idara ya Ardhi zilizopo karibu Jengo la udhibiti ubora wa Elimu Wilaya ya Tunduru.
kwa mawasiliano zaidi piga simu na. 0687129712 pakua maelezo ya blue hapa chini
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.